Kutalii kwa kufuata kando ya Mto Manjano kumekuwa chaguo jipya kwa watalii wa majira ya joto (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2026
Kutalii kwa kufuata kando ya Mto Manjano kumekuwa chaguo jipya kwa watalii wa majira ya joto
Picha iliyopigwa Agosti 10, 2026 ikionyesha mandhari ya Mto Manjano kwenye mpaka wa Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China na Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China. (Xinhua/Shao Rui)

Kufuatia kukamilika na kuanza kufanya kazi kwa miundombinu ya usafiri, kama vile Barabara Kuu ya Yanhuang katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China na Barabara Kuu No. 1 ya Utalii ya Mto Manjano katika Mkoa wa Shanxi kaskazini mwa China, kufanya utalii kwa kufuata kando ya Mto Manjano kumekuwa chaguo kwa watalii wengi wakati wa majira ya joto.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha