Lugha Nyingine
Mtaa wa kihistoria mjini Kunming, Yunnan wapata uhai mpya kupitia utamaduni wa kahawa na biashara
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 20, 2026
![]() |
| Picha ikionyesha watu wakitembelea Mtaa wa Xunjin mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China, Agosti 18, 2026. (Xinhua/Hu Chao) |
Katika siku za majira ya joto, Mtaa wa Xunjin mjini Kunming katika Mkoa wa Yunnan, kusini-magharibi mwa China umekuwa mahali pa kuvutia watu wengi kutumia siku zao za mapumziko kwenda huko kufanya maburudisho na kupumzika kwa raha. Mtaa huo uliokuwa eneo la mabaki ya kihistoria, hivi sasa umeonekana sura mpya kabisa kwa kupitia kuanzisha biashara ya mighahawa mbalimbali ya kahawa, vyakula na mambo ya utamaduni.
Hivi sasa shughuli za kahawa zimekuwa kiunganishi kipya kati ya historia na maisha ya zama tulizonazo. Hivi leo, maduka ya kahawa zaidi ya 50 yenye umaalum mbalimbali yanaendeshwa kwa hali motomoto kwenye mtaa huo, na mapato ya mwaka ya maduka hayo yamefikia yuan takriban milioni 20 (dola karibu milioni 2.97 za Marekani).
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




