Lugha Nyingine
Barabara kuu ya kitaifa yaleta fursa mpya kwa mji mdogo wa milimani mkoani Jilin, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2026
![]() |
| Mfanyakazi akifanya usafi kwenye nyumba ya kuwapokea wageni kando ya sehemu ya Baishan ya barabara kuu ya kitaifa No. G331, mkoani Jilin, Agosti 19, 2026. (Xinhua/Xu Chang) |
Shukrani kwa barabara kuu ya kitaifa No. G331 ambayo ilifunguliwa kwa usafiri wa umma mwezi Septemba 2025, Mji mdogo wa Sandaogou huko Baishan mkoani Jilin, ulioko sehemu ya mbali mlimani na ulio wa nyuma kimaendeleo, umetumia fursa mpya ukiendeleza vizuri kazi za kilimo, utalii na shughuli nyingine za huduma.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




