Jukwaa la 7 la Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China-Afrika lafanyika Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2026
Jukwaa la 7 la Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China-Afrika lafanyika Beijing
Wageni wakikubaliana na Taarifa ya Pamoja ya Jukwaa la 7 la Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika lililofanyika Beijing, mji mkuu wa China, Agosti 20, 2026. (Xinhua/Jin Liwang)

Jukwaa la 7 la Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika lenye kaulimbiu ya "Kunufaika Pamoja na Fursa za Maendeleo, Kujenga Siku za Baadaye za Utangazaji wa TV na Radio" limekuwa likifanyika Beijing, kwa siku tatu mfululizo kuanzia Julai 19 hadi 21.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha