Roboti zaonyesha matumizi mbalimbali kwenye Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2026
Roboti zaonyesha matumizi mbalimbali kwenye Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026
Roboti ikichagua bidhaa kwenye Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani 2026 (WRC), Beijing, Agosti 20, 2026. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Mkutano wa Mambo ya Roboti Duniani (WRC) 2026 uliofunguliwa Beijing Jumatano wiki hii umevutia wafanyabiashara zaidi ya 300 na bidhaa zao zaidi 2000 kushiriki kwenye maonesho hayo yenye kaulimbiu ya “Ushirikiano wa Binadamu na Roboti, Mafungamano ya Uzalishaji na Mahitaji”. Mkutano huo unaonyesha mipango mbalimbali ya utatuzi matatizo katika utengenezaji bidhaa, uendeshaji wa mighahawa ya chakula na mauzo ya rejareja, matibabu na huduma ya afya na utunzaji wa wazee, kukabiliana na hali ya dharua na kufanya uokoaji.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha