Lugha Nyingine
Michezo ya pili ya Roboti za Umbo la Binadamu Duniani yafanyika Beijing, China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2026
Michezo ya Pili ya Roboti za Umbo la Binadamu Duniani imefanyika Beijing, mji mkuu wa China jana Jumapili ikihusisha michezo mbalimbali ya mbio za marathoni, mchezo wa ngumi, tenisi ya mezani na mingine kadha wa kadhaa. Kwenye michezo hiyo, roboti hizo zenye umbo la binadamu zilionyesha ustadi mkubwa wa kimichezo na hatua kubwa iliyopigwa kwenye maendeleo ya mambo ya roboti.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




