Waokoaji wawahamisha wakazi waliokwama kufuatia mvua kubwa mkoani Guangxi, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2026
Waokoaji wawahamisha wakazi waliokwama kufuatia mvua kubwa mkoani Guangxi, China
Picha iliyopigwa tarehe 23 Agosti, 2026 ikionyesha waokoaji wakiwahamisha wakazi waliokwama katika Wilaya ya Ningming, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Zhou Hua)

Kwa siku kadhaa, Wilaya ya Ningming katika Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China imekuwa ikikabiliana na mvua kubwa iliyosababishwa na kimbunga. Vikosi vya uokoaji vimeunganisha juhudi zao kuwahamisha kwa haraka wakazi waliokwama.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha