Mji wa kale wa Dali washuhudia ongezeko kubwa la watalii wakati wa pilika nyingi za utalii wa majira ya joto

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2026
Mji wa kale wa Dali washuhudia ongezeko kubwa la watalii wakati wa pilika nyingi za utalii wa majira ya joto
Mwanamke akijipiga video kwenye mji wa kale wa Dali huko Dali mkoani Yunnan, kusini-magharibi mwa China, Agosti 22, 2026. (Xinhua/Hu Chao)

Mji wa kale wa Dali mkoani Yunnan, kusini-magharibi mwa China umeingia katika msimu wake wa pilika za shughuli za utalii wakati wa likizo ya majira ya joto. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na idara ya ulinzi na usimamizi wa mji wa kale, mji huo wa kale umewapokea watalii kwa zaidi ya milioni 22 katika miezi saba ya kwanza ya mwaka 2026.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha