Lugha Nyingine
Kijiji cha Dapin katika Mkoa wa Shanxi, China chavutia kwa mandhari ya kipekee
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 24, 2026
![]() |
| Picha hii iliyopigwa Agosti 21, 2026 ikionyesha mandhari ya Kijiji cha Dapin katika Wilaya ya Yuxian ya Yangquan, mkoani Shanxi, kaskazini mwa China. (Xinhua/Cao Yang) |
Kijiji cha Dapin kilichopo ndani kabisa ya Milima Taihang, ni kijiji cha kijadi chenye historia ndefu katika Mkoa wa Shanxi kaskazini mwa China. Nyumba nyingi katika kijiji hicho zilijengwa kwa udongo wa manjano na mawe. Nyua ndogo zaidi ya 50 za nyumba zipo kwenye mtelemko wa mlima unaojitokeza zikiwa zimepangwa kwa ngazi mbalimbali kutoka chini hadi juu, hali ambayo inaonyesha mandhari ya kipekee.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




