Lugha Nyingine
Mandhari ya mtaa wa kale wa Qiaonan katika Mji wa Quanzhou, Fujian, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2026
![]() |
| Picha ikionesha mandhari ya mtaa wa kale wa Qiaonan katika Mji wa Quanzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China, Agosti 18, 2026. (Xinhua/Lin Shanchuan) |
Mtaa wa kale wa Qiaonan katika Mji wa Quanzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China ni mtaa wa kihistoria na kitamaduni ambao bado unahifadhi majengo ya kijadi ya Minnan na majumba ya kifahari ya Wachina wa ng'ambo. “Minnan” maana yake halisi ni "mkoa wa kusini wa Fujian." Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya mtaa imehimiza ulinzi na matumizi ya mtaa huo kwa kuusimamia kwa njia yenye uvumbuzi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




