Mji wa Qingdao waanzisha njia mpya za utalii wa kutazama mandhari baharini kwa kusukuma mbele maendeleo ya shughuli za utalii (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 27, 2026
Mji wa Qingdao waanzisha njia mpya za utalii wa kutazama mandhari baharini kwa kusukuma mbele maendeleo ya shughuli za utalii
Picha iliyopigwa Agosti 26, 2026 ikionesha mandhari ya Eneo la Utalii wa Usafiri na Utamaduni wa Baharini la Olimpiki la Qingdao mkoani Shandong, mashariki mwa China. (Xinhua/Li Ziheng)

Eneo la Utalii wa Usafiri na Utamaduni wa Baharini la Olimpiki la Qingdao mkoani Shandong, mashariki mwa China limeanzisha njia kadhaa za utalii wa kutazama mandhari kutoka Ghuba ya Jiaozhou hadi Kisiwa cha Zhaitang, hali ambayo imesaidia kusukuma mbele maendeleo ya shughuli za utalii wa huko.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha