Lugha Nyingine
Mji wa Hefei, China wazindua maduka yanayoendeshwa na roboti kwenye maeneo ya kibiashara
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 27, 2026
![]() |
| Watu wakifanya manunuzi kwenye duka la roboti ya AI katika Mtaa wa Leijie, Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Agosti 26, 2026. (Xinhua/Zhou Mu) |
Maduka manne yanayoendeshwa na roboti za AI, ambayo ndani yake waliwekwa wasaidizi roboti za maumbo ya binadamu zenye magurudumu, yamefunguliwa rasmi katika mitaa kadhaa ya kitamaduni, utalii na kibiashara mjini Hefei, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China. Wasaidizi hao roboti wa maduka wanaweza kutambua, kuchukua na kukabidhi bidhaa kiotomatiki kwa wateja.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




