Mashindano ya kimkoa ya ufundi wa kazi kwa walemavu yafanyika Zhengzhou, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 28, 2026
Mashindano ya kimkoa ya ufundi wa kazi kwa walemavu yafanyika Zhengzhou, China
Washiriki wakiwa kwenye mashindano ya kutangaza bidhaa na kuziuza mtandaoni, huko Zhengzhou mkoani Henan, katikati mwa China, Agosti 27, 2026 (Xinhua/Zhu Xiang)

Mashindano ya kimkoa ya ufundi wa kazi kwa walemavu yamefanyika katika Mji wa Zhengzhou mkoani Henan, katikati mwa China jana Alhamisi. Watu 338 walishiriki katika mashindano 16 ya aina 5 za ufundi wa kazi kuhusu teknolojia ya kupashana habari, usanifu wa sanaa, kazi za mikono, kazi za viwanda na huduma.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha