Lugha Nyingine
Waokoaji washindana na wakati kwa kutafuta manusura kwenye kituo cha Gyirong cha China iliyokumbwa na maporomoko ya udongo na mawe (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
![]() |
| Waokoaji na mbwa wa kunusa wakitafuta watu wasiojulikana waliko kwenye sehemu iliyokumbwa na maporomoko ya udongo na mawe katika Wilaya ya Gyirong, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini magharibi mwa China, Agosti 30, 2026. (Xinhua/Jigme Dorje) |
Waokoaji wako wanashindana na wakati na hali ngumu kwa kutafuta manusura baada ya maporomoko makubwa ya udongo na mawe yaliyosababishwa na kuporomoka ghafla na kwa kasi kwa miamba ya barafu na theluji nchini Nepal, na kukumba jengo la kituo cha mpakani cha Gyirong katika Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini magharibi mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




