Shule za msingi na sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zakaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 01, 2026
Shule za msingi na sekondari katika baadhi ya sehemu nchini China zakaribisha siku ya kwanza ya muhula mpya
Wanafunzi wakihudhuria darasa kwenye shule ya msingi mjini Nanning, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, Agosti 31, 2026. (Xinhua/Lu Boan)

Muhula mpya wa masomo umeanza kwa shule za msingi na sekondari jana Jumatatu katika mji wa Hengzhou wa Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China, mji huo ambao ulikumbwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na Kimbunga Maysak mwezi Julai mwaka huu.

Baada ya kufanya usafi, ukarabati, na kazi ya kunyunyuzia dawa kuua vijidudu, shule zote zilizoathiriwa na mafuriko katika mji huo zimeanza muhula mpya kama zilivyofanya shule nyingine katika sehemu mbalimbali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Renato Lu)

Picha