Maonesho ya Ndege Angani ya Sivrihisar yaanza nchini Uturuki

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 20, 2026

Ndege ikifanya maonyesho ya urukaji wakati wa Maonesho ya Ndege Angani ya Sivrihisar 2026 katika wilaya ya Sivrihisar, mkoani Eskisehir, Uturuki, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo ya kila mwaka ya ndege angani yalianza katika wilaya ya Sivrihisar, mkoani Eskisehir, Uturuki, Jumamosi. (Xinhua)

Ndege zikifanya maonyesho ya urukaji wakati wa Maonesho ya Ndege Angani ya Sivrihisar 2026 katika wilaya ya Sivrihisar, mkoani Eskisehir, Uturuki, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo ya kila mwaka ya ndege angani yalianza katika wilaya ya Sivrihisar, mkoani Eskisehir, Uturuki, Jumamosi. (Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha