Lugha Nyingine
Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China yafanyika Chongqing

Watu wakitembelea Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo yanafanyika mjini Chongqing kuanzia Septemba 19 hadi 22. (Xinhua/Huang Wei)

Mgeni akijaribu pikipiki kwenye Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo yanafanyika mjini Chongqing kuanzia Septemba 19 hadi 22. (Xinhua/Chen Cheng)

Watembeleaji wakiangalia helmeti za pikipiki kwenye Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo yanafanyika mjini Chongqing kuanzia Septemba 19 hadi 22. (Xinhua/Huang Wei)

Watu wakitembelea Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo yanafanyika mjini Chongqing kuanzia Septemba 19 hadi 22. (Xinhua/Huang Wei)

Watu wakijaribu pikipiki kwenye Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo yanafanyika mjini Chongqing kuanzia Septemba 19 hadi 22. (Xinhua/Chen Cheng)

Maonesho ya ustadi mkubwa wa kuendesha pikipiki yakifanyika kwenye Maonesho ya 24 ya Kimataifa ya Biashara ya Pikipiki ya China mjini Chongqing, kusini-magharibi mwa China, Septemba 19, 2026. Maonesho hayo yanafanyika mjini Chongqing kuanzia Septemba 19 hadi 22. (Xinhua/Chen Cheng)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



