Lugha Nyingine
Sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia zafanyika Nagoya, Japan

Ujumbe wa China ukiingia uwanjani wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Lui Siu Wai)

Ujumbe wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (DPRK) ukiingia uwanjani wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Li Bo)

Ujumbe wa Iran ukiingia uwanjani wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Zhou Mi)

Ujumbe wa Nepal ukiingia uwanjani wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Li Bo)

Ujumbe wa Syria ukiingia uwanjani wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Wang Fei)

Ujumbe wa Yemen ukiingia uwanjani wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Zhou Mi)

Wasanii wakifanya maonesho wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Li Bo)

Wanamichezo Takahashi Ayaka (kushoto) na Murofushi Koji wa Japan wakipokezana mwenge wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Cheong Kam Ka)

Sheikh Joaan Bin Hamad Al Thani, mwenyekiti wa Baraza la Olimpiki la Asia (OCA), akizungumza wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Li Bo)

Mwenge mkuu ukiwashwa moto wakati wa sherehe za kufunguliwa kwa Michezo ya 20 ya Asia Aichi-Nagoya 2026 huko Nagoya, Japan, Septemba 19, 2026. (Xinhua/Jia Haocheng)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



