Lugha Nyingine
China na Marekani zaanza mazungumzo ya uchumi na biashara mjini New York
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 21, 2026

Naibu Waziri Mkuu wa China Bw. He Lifeng akisalimiana na Waziri wa Fedha wa Marekani Bw. Scott Bessent kabla ya mazungumzo huko New York, Marekani, Septemba 20, 2026. (Xinhua/Bai Xueqi)
Watu wa Ujumbe wa China na ujumbe wa Marekani wamekutana mjini New York jumapili wakifanya mazungumzo ya masuala ya uchumi na biashara.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



