Lugha Nyingine
Ndoto ya muziki ya mtoto wa mbugani
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 09, 2026
Wilaya ya Maqin katika Eneo Linalojiendesha la Watibet la Golog mkoani Qinghai, kaskazini magharibi mwa China, iko kwenye sehemu ambayo wastani wa mwinuko umefikia mita 4,300 kutoka usawa wa bahari. Sehemu hii ambayo ni nyumbani kwa Yeshi Tsetung, na ndoto ya mtoto huyu juu ya muziki ilianzia katika Sekondari ya Juu ya Makabila ya Xining ya Golog. Mwaka 2023, bendi ya kwanza ya ala za kupulizwa ya vijana watibet ya China—Bendi ya Ala za Kupulizwa ya Vijana ya Eneo la Golog—ilianzishwa hapa, na Yeshi Tsetung amekuwa mmoja wa wapiga zumari wake wa kwanza, na kutimiza ndoto yake juu ya muziki.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



