Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani yaanza mjini Shanghai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2026
Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani yaanza mjini Shanghai
Sherehe ya ufunguzi wa Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani imefanyika Shanghai, mashariki mwa China, Septemba 22, 2026. (Xinhua/Jin Liwang)

Mashindano ya 48 ya Ufundi Duniani yalifunguliwa mjini Shanghai Jumanne jioni, ambapo washiriki 1,385 kutoka nchi na maeneo 68 watashindana katika shughuli 64 za mashindano ya ufundi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha