Shughuli za kusherehekea Siku ya Chongyang zafanyika kote nchini China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2026
Shughuli za kusherehekea Siku ya Chongyang zafanyika kote nchini China
Tarehe 18 Oktoba 2026, katika mji wa Xuzhou mkoani Jiangsu, mtu mmoja wa kujitolea akiwapigia wazee muziki katika shughuli za kusherehekea Siku ya Chongyang. (Xinhua/Kuai Chuang)

Siku ya Chongyang ya China ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 kila mwaka kwa kalenda ya Kilimo ya China, mwaka huu inaadhimishwa tarehe 18 Oktoba. Katika siku hiyo shughuli za kusherehekea zilifanyika katika sehemu mbalimbali nchini China.

Siku ya Chongyang pia inaitwa "Siku ya Wazee ya China," inamaanisha kuenzi mila na desturi za China za kuwaheshimu na kuwapenda wazee.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha