Lugha Nyingine
Shughuli za kusherehekea Siku ya Chongyang zafanyika kote nchini China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 19, 2026
![]() |
| Tarehe 18 Oktoba 2026, katika mji wa Luoyang, mkoani Henan, wazee wanatazama maonyesho ya ngoma ya simba wakisherehekea Siku ya Chongyang. (Xinhua/Li Weichao) |
Siku ya Chongyang ya China ya tarehe 9 ya mwezi wa 9 kila mwaka kwa kalenda ya Kilimo ya China, mwaka huu inaadhimishwa tarehe 18 Oktoba. Katika siku hiyo shughuli za kusherehekea zilifanyika katika sehemu mbalimbali nchini China.
Siku ya Chongyang pia inaitwa "Siku ya Wazee ya China," inamaanisha kuenzi mila na desturi za China za kuwaheshimu na kuwapenda wazee.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Tamasha la 19 la Utamaduni na Utalii la A-Ma lafunguliwa Macao, China

Utandazaji wa reli waanza kwenye reli ya mwendo-kasi ya Nantong-Ningbo mkoani Jiangsu, China

Mabaki ya vivutio vya kihistoria vya Safari Ndefu mkoani Sichuan, China

Mwonekano wa kisiwa cha Liugong la eneo la mji Weihai mkoani Shandong China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
