Mashindano ya kwanza ya roboti duniani kupanda Mlima Tai yafanyika mkoani Shandong, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 03, 2026
Mashindano ya kwanza ya roboti duniani kupanda Mlima Tai yafanyika mkoani Shandong, China
Roboti ikishindana kwenye mashindano ya kupanda Mlima Tai huko Tai'an, mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Novemba 2, 2026. (Xinhua/Zhu Zheng)

Mashindano ya kwanza ya roboti duniani ya kupanda Mlima Tai yamefanyika jana Jumatatu katika Mji wa  Tai'an, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, ambapo timu karibu 90 zimekusanyika pamoja kwenye njia ya kupanda Mlima Tai ya kihistoria.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha