Mradi wa Uboreshaji wa Vituo kwenye sehemu ya upanuzi ya Reli ya Weng’an–Machangping wamalizika Mkoani Guizhou, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 04, 2026
Mradi wa Uboreshaji wa Vituo kwenye sehemu ya upanuzi ya Reli ya Weng’an–Machangping wamalizika Mkoani Guizhou, China
Picha zilizopigwa tarehe 3 Novemba 2026 zinaonyesha wafanyakazi wa reli wakifanya kazi ya hatua ya mwisho ya uboreshaji katika kituo cha Gelaoba kwenye sehemu ya upanuzi ya Reli ya Weng’an–Machangping mkoani Guizhou. (Xinhua/Yang Wenbin)

Baada ya kazi ya uboreshaji wa kituo cha Gelaoba kukamilika Jumanne, kazi zote za kuongeza uwezo wa vituo vilivyopo kwenye sehemu ya upanuzi ya Reli ya Weng’an–Machangping zimekamilika.

Sehemu hiyo ya upanuzi yenye urefu wa kilomita 148 ilijengwa na Kundi la Idara ya No. 20 ya Shirika la Reli la China, na ni mradi muhimu wa usafirishaji wa mizigo wa reli mkoani Guizhou.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha