Lugha Nyingine
Idadi ya wanunuzi wa kigeni katika Maonyesho ya 140 ya Canton yafikia rekodi mpya (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 05, 2026
![]() |
| Tarehe 3 Novemba, mnunuzi wa kigeni (chini) akijaribu chombo cha kufanyia masaji katika eneo la maonesho ya bidhaa za matibabu ya kisasa la Maonyesho ya Canton. (Xinhua/Deng Hua) |
Tarehe 4 Novemba, Maonyesho ya 140 ya Uagizaji na Uuzaji wa Bidhaa ya China (Maonyesho ya Canton) yalifungwa. Hadi tarehe 3, wanunuzi wa kigeni 352,000 kutoka nchi na maeneo 219 walishiriki kwenye maonyesho hayo, ambao wamefikia ongezeko la asilimia 12.2 wakilinganishwa na wale wa maonesho ya mwaka uliopita, na ukubwa wake umeweka rekodi mpya katika historia ya maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




