Rais wa Gabon awasili Beijing kuendelea na ziara yake ya kiserikali nchini China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 06, 2026
Rais wa Gabon awasili Beijing kuendelea na ziara yake ya kiserikali nchini China
Tarehe 5 Novemba 2026, Rais wa Gabon Brice Clotaire Oligui Nguema aliwasili Beijing, mji mkuu wa China. (Xinhua/Cai Yang)

Nguema aliwasili Beijing kuendelea na ziara yake ya kiserikali nchini China iliyoanzia Novemba 3 hadi 7.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha