Bidhaa katika Maonyesho ya Tisa ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China zaonesha mwelekeo wa dunia nzima (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 09, 2026
Bidhaa katika Maonyesho ya Tisa ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China zaonesha mwelekeo wa dunia nzima
Tarehe 8 Novemba 2026, watu wakitembelea banda la Calvin Klein katika Maonyesho ya Tisa ya Kimataifa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) yanayofanyika Shanghai, China. (Xinhua/Chen Haoming)

Eneo la maonesho ya bidhaa za matumizi katika Maonyesho ya Tisa ya Uagizaji Bidhaa Nje ya China (CIIE) lilionyesha bidhaa za vipodozi, bidhaa za mitindo, pamoja na bidhaa za michezo ya nje ya nyumba, na hivyo vyote vimeonesha mwelekeo wa matumizi duniani na kuongezeka kuboreka kwa maisha ya watu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha