Lugha Nyingine
Mji wa Shenzhen, China wahimiza biashara na kuimarisha muunganisho wa kikanda kati ya wanachama wa APEC (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 16, 2026
Juhudi za Mji wa Shenzhen, China katika kuhakikisha usafirishaji na usambazaji mzuri wa bidhaa, kuhimiza biashara ya kidijitali kwa kutumia nguvu ya mahesabu ya kompyuta, na kuboresha huduma za biashara duniani, zimeendelea kusukuma mbele maendeleo ya biashara na kuimarisha muunganisho wa kikanda kati ya wanachama wa APEC.
Katika nusu ya kwanza ya mwaka 2026, biashara ya mji wa Shenzhen na chumi za wanachama wengine wa APEC iliongezeka kwa asilimia 33 hadi kufikia yuan trilioni 1.98 (dola za Marekani takriban bilioni 296.8), kiasi ambacho kinachukua asilimia 68.8 ya thamani ya jumla ya biashara yake na nje.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




