Teknolojia zinazoibukia zaoneshwa kwenye kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Viongozi wa Uchumi wa APEC (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2026
Teknolojia zinazoibukia zaoneshwa kwenye kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Viongozi wa Uchumi wa APEC
Roboti ikikabidhi kikombe cha aiskrimu kwenye kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Viongozi wa Uchumi wa APEC huko Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China, Novemba 16, 2026. (Xinhua/Xing Guangli)

Kwenye kituo cha vyombo vya habari cha Mkutano wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) mazingira ya matumizi ya teknolojia ya AI na roboti yanawaoneshea waandishi wa habari mafanikio ya China katika uvumbuzi wa sayansi na teknolojia.

Mkutano huo wa Viongozi wa Uchumi wa APEC umepangwa kufanyika Novemba 18-19 huko Shenzhen mkoani Guangdong, kusini mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha