Mandhari ya Mji wa Shenzhen, China ukiwa na vipengele vya APEC (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 17, 2026
Mandhari ya Mji wa Shenzhen, China ukiwa na vipengele vya APEC
Wafanyakazi wakiweka mapambo yenye maudhui ya APEC mjini Shenzhen, Mkoa wa Guangdong, kusini mwa China, tarehe 15 Novemba 2026. (Xinhua/Deng Hua)

Mkutano wa 33 wa Viongozi wa Uchumi wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia-Pasifiki (APEC) utafanyika Shenzhen katika Mkoa wa Guangdong, China kuanzia tarehe 18 hadi 19 Novemba. Mji huo umepambwa kwa maua na mimea mingi ya kuvutia ya kijani, huku mapambo yanayohusiana na mkutano huo wa APEC yakiwa yamefungamanishwa katika mandhari ya mji.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha