Meli ya China ya utafiti na kuvunja barafu "Xuelong" yawasili Hobart, Australia

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 19, 2026
Meli ya China ya utafiti na kuvunja barafu
Meli ya utafiti ya China ya kuvunja barafu "Xuelong" ikielekea kwenye bandari karibu na Hobart, Australia, tarehe 18 Novemba 2026. (Xinhua/Gong Bing)

Meli ya utafiti ya China ya kuvunja barafu "Xuelong" ikiwa imebeba kundi la 43 la utafiti wa Antaktika la China, limewasili Hobart, Australia, lango muhimu la kuelekea Bahari ya Antaktika jana Jumatano.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha