Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shengle wa Hohhot, China kuzinduliwa Novemba 26 (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 20, 2026
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shengle wa Hohhot, China kuzinduliwa Novemba 26
Picha iliyopigwa Novemba 19, 2026, ikionesha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shengle wa Hohhot katika Mkoa Unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China. (Xinhua/Bei He)

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Shengle wa Hohhot katika Mkoa Unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China umepangwa kuzinduliwa na kuanza rasmi shughuli zake saa 6:00 usiku (0:00 a.m.) Novemba 26, ukichukua huduma zote za usafiri wa ndege zilizofanywa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Baita wa Hohhot, uwanja huo ambao utasitisha shughuli zake wakati huo huo.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha