Urejeshaji ikolojia waleta uoto wa kijani kwenye kando za Mto Changjiang huko Wuhan, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 25, 2026
Urejeshaji ikolojia waleta uoto wa kijani kwenye kando za Mto Changjiang huko Wuhan, China
Picha iliyopigwa Novemba 18, 2026, ikionesha meli zikisafiri katika sehemu ya mto karibu na Eneo la Qingshan la Wuhan mkoani Hubei, katikati mwa China. (Xinhua/Xiao Yijiu)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Wuhan mkoani Hubei umeongeza juhudi zake za kurekebisha shughuli za viwandani na kurejesha mazingira ya kiikolojia kando za Mto Changjiang, ambao unapita katikati ya mji huo.

Kando za mto huo hapo awali zilikuwa na viwanda vingi visivyokuwa na ufanisi, pamoja na hali ya msongamano kwenye kando za mto. Hivi sasa bustani za kijani na za kuvutia zimejengwa huko, ambapo bandari ikiendeshwa kwa taratibu na ufanisi. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha