Lugha Nyingine
Mji wa Harbin, China waanza kutumia hifadhi ya barafu kwa ajili ya Maonesho ya 28 ya Bustani ya Barafu na Theluji (3)
HARBIN – Hifadhi ya barafu kwa Maonesho ya 28 ya Bustani ya Barafu na Theluji ya Harbin, ambayo ni bustani maarufu ya mandhari ya kimsimu mjini Harbin, imeanza kutumika rasmi katika Mji wa Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China jana Jumanne.
Kwa mujibu wa wahusika wa bustani hiyo, kazi ya ujenzi wa miundo ya barafu katika bustani hiyo inatarajiwa kuanza hivi karibuni. Wamesema, bustani hiyo imepanuliwa hadi kufikia mita za mraba milioni 1.25 mwaka huu, ikiwa na matumizi ya jumla ya barafu na theluji ya mita za ujazo 400,000, na kuweka rekodi mpya ya wingi ikilinganishwa na maonesho yaliyopita.

Maonesho ya picha ya China na Afrika yazidisha urafiki na uhusiano wa kiutamaduni

Maua mabichi yaliyokatwa ya Kenya yang’ara kwenye soko la China

Maonyesho ya urukaji wa ndege yafanyika Changchun kuadhimisha kuanzishwa kwa Jeshi la Anga la China

Shughuli ya Siku ya Meli ya "Xuelong 2" ya China kufunguliwa kwa umma yafanyika Hainan
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
