China na Cambodia zafanya kwa pamoja mazoezi ya kijeshi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 26, 2026
China na Cambodia zafanya kwa pamoja mazoezi ya kijeshi
Picha iliyopigwa Novemba 25, 2026, ikionesha ufunguzi wa mazoezi ya pamoja ya majeshi ya China na Cambodia kwenye Kituo cha Pamoja cha Uungaji Mkono na Mafunzo cha Cambodia na China katika Bandari ya Ream, Cambodia. (Picha na Jia Siyu/Xinhua)

Majeshi ya China na Cambodia yamefanya mazoezi ya pamoja jana Jumatano nchini Cambodia.

Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Ulinzi wa Taifa ya China imesema kuwa, Mazoezi hayo yaliyopewa jina la "Golden Dragon-2026", yanaweka mkazo katika "operesheni za pamoja za kupambana na ugaidi, kupambana na vitendo vya uharamia kwenye bahari, na uokoaji wa kibinadamu".

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha