人民网首页

Habari

Kuboresha maisha ya watu ni lengo la msingi la ukuaji wa uchumi: Waziri Mkuu wa China

China iko tayari kufanya juhudi kwa pamoja na jumuiya ya kimataifa ili kubeba jukumu kwa ajili ya kurudisha mapema amani nchini Ukraine:Waziri Mkuu wa China

China haitafunga mlango wake

Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo amesema China imetekeleza sera ya kufungua mlango kwa zaidi ya miaka 40, sera ambayo imeleta maendeleo kwa China na manufaa kwa dunia nzima, kwa hiyo China haitafunga mlango wake.

Waziri Mkuu wa China Li Keqiang akikutana na waandishi wa habari baada ya ufungaji wa mkutano wa tano wa Bunge la Umma la 13 la China (NPC) hapa Beijing, Machi 11, 2022. Li akijibu maswali ya waandishi wa habari wa ndani na nje ya China kwa kupitia video. (Xinhua)

Waziri Mkuu wa China akutana na waandishi wa habari baada ya Mkutano wa mwaka wa Kutunga Sheria

Waziri Mkuu wa China Li Keqiang akiitisha mkutano na waandishi wa habari Ijumaa baada ya ufungaji wa mkutano wa tano wa Bunge la Umma la 13 la China. Waziri Mkuu alijibu maswali ya waandishi wa habari wa ndani na nje ya China kwa kupitia video.

1 2 3 4 5 6 Inayofuata