人民网首页

Habari

Elewa ‘Demokrasia ya mchakato mzima wa Umma’ ya China katika "mikutano mikuu miwili"

Wajumbe wa Bunge la Umma la 13 la China (NPC) wakihudhuria kikao cha pili cha Mkutano wa Tano wa NPC ya 13 kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 8, 2022. (Xinhua/Liu Weibing) BEIJING - Demokrasia ya mchakato mzima wa Umma ya China, imeundwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) katika kuwaongoza watu kutafuta demokrasia, kuendeleza demokrasia na kutimiza demokrasia, inaonesha dhana mpya ya CPC katika kuendeleza nadharia ya demokrasia, kuanzisha mifumo ya kidemokrasia na kufanya uzoefu nchini China.

China yahimiza ushirikiano na mazungumzo huku hali ya kutokuwa na uhakika ikiongezeka duniani

Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi akihudhuria mkutano na waandishi wa habari kwa njia ya video kuhusu sera ya mambo ya nje na uhusiano wa nje wa China pembezoni mwa mkutano wa tano wa Bunge la Umma la 13 la China (NPC) kwenye Jumba la Mikutano la Umma la Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 7, 2022. (Xinhua/Chen Zhonghao) BEIJING - Kutokana na mabadiliko makubwa ambayo hayajapata kuonekana katika kipindi cha karne moja, China siku ya Jumatatu wiki hii imetoa wito kwa nchi duniani kuendelea kujitolea kusitisha vita kwa njia ya mazungumzo, kusuluhisha migogoro kwa njia ya mazungumzo, na kuongeza hali ya kuaminiana kupitia ushirikiano.

Rais Xi Jinping asisitiza kusimamia jeshi kwa mujibu wa sheria

(Picha inatoka Tovuti ya Shirika la Habari la China Xinhua.) Rais Xi Jinping wa China amesisitiza umuhimu wa kusimamia jeshi kwa mujibu wa sheria na kuhimiza utawala wa sheria kwenye ulinzi wa taifa na ujenzi wa jeshi.

Bunge la Umma la China lafanya kikao cha pili cha Mkutano wa Mwaka

Li Zhanshu, Spika wa Bunge la Umma la China (NPC) akitoa ripoti ya kazi ya Kamati ya NPC kwenye kikao cha pili cha Mkutano wa Tano wa Bunge la Umma la 13 la China (NPC ya 13) katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, mjini Beijing , Machi 8, 2022. (Xinhua/Liu Weibing) BEIJING – Mkutano wa Tano wa Bunge la Umma la 13 la China (NPC), umefanya kikao chake cha pili leo Jumanne.

Iliyopita1 2 3 4 5 6 Inayofuata