人民网首页

Habari

Zhao Leji, Mjumbe wa kudumu wa Tume Tendaji ya Wenyeviti ya mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC), akiongoza mkutano wa tisa wa tume hiyo kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, Machi 12, 2023. ( Xinhua/Yan Yan)

Ripoti ya kazi ya serikali ya China na nyaraka nyingine zapitishwa leo Jumatatu kwenye Mkutano wa Bunge la Umma la 14 la China

BEIJING – Bunge la Umma la 14 la China limepitisha nyaraka kadhaa muhimu kwenye mkutano wa wajumbe wote uliofanyika leo Jumatatu. Uamuzi huo wa kuwasilisha nyaraka hizo kwenye Bunge la Umma la 14 la China ulitolewa kwenye mkutano wa tisa wa Tume Tendaji ya Wenyeviti ya Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China uliofanyika Jumapili alasiri, ukiongozwa na Zhao Leji, mjumbe wa kudumu wa tume hiyo.

Bunge la Umma la 14 la China laidhinisha baraza jipya la serikali

Kikao cha tano cha Mkutano wa Kwanza wa wajumbe wote wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) ukifanyika kwenye Jumba la Mikutano la Umma hapa Beijing, Mji Mkuu wa China, Machi 12, 2023. (Xinhua/Li Xin) BEIJING - Bunge la Umma la 14 la China Jumapili liliamua safu mpya ya Baraza la Serikali la China, katika mkutano wake wa mwaka ambao umefungwa leo.

Video ya Matangazo ya Moja kwa Moja: Mkutano wa Waziri Mkuu na waandishi wa habari

Mkutano wa Waziri Mkuu na waandishi wa habari unafanyika leo asubuhi kwenye Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, China.

(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.)

Ufungaji wa Mkutano wa kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la China wafanyika

Ufungaji wa mkutano wa kwanza wa Baraza la 14 la Mashauriano ya Kisiasa la China umefanyika saa 9 mchana tarehe 11, Machi kwenye Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, China.

Iliyopita1 2 3 4 5 6 Inayofuata