人民网首页

Habari

Kikao cha pili cha mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China chafanyika

(Picha inatoka Shirika la Habari la China Xinhua.) Bunge la Umma la 14 la China (NPC) jana limefanya kikao cha pili cha mkutano wake na kusikiliza ripoti za kazi zilizotolewa na Kamati ya Kudumu ya Bunge la Umma la 13, Mahakama Kuu ya Umma ya China (SPC) na Idara Kuu ya Uendeshaji Mashtaka ya China (SPP), pamoja na maelezo kuhusu mageuzi ya vyombo vya Baraza la Serikali.

Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” latandika njia pana kwa ajili ya kupata maendeleo kwa pamoja

Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang akijibu maswali kwenye mkutano na waandishi wa habari kando ya mikutano miwili ya mwaka tarehe 7, Machi hapa Beijing, China.

Utimiaji wa mambo ya kisasa kwa njia ya China kutoa fursa kwa dunia nzima

Mikutano Miwili Mikubwa ya nchini China, mkutano wa Bunge la Umma la China na mkutano wa Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China imefunguliwa, na jamii ya kimataifa inafuatilia jinsi China itakavyosukuma mbele maendeleo ya mambo ya kisasa kwa njia ya China. Katika tahariri yake, Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limesema utimiaji wa mambo ya kisasa kwa njia ya China utatoa fursa kwa dunia nzima.

Wizara ya Kilimo ya China: kazi ya uandaaji wa mbolea kwa ajili ya msimu wa kupanda inaendelea vizuri

Takwimu zilizotolewa na wizara ya kilimo na vijiji ya China zinaonyesha kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Februari, usambazaji wa mbolea kwa ajili ya msimu wa upandaji wa mwaka huu katika mikoa, miji na wilaya umekuwa kasi zaidi kuliko wakati kama huo wa mwaka jana. Usambazaji wa mbolea katika mikoa mikubwa ya uzalishaji wa nafaka kama vile Liaoning, Anhui, Shandong, Hunan umemalizika kwa zaidi ya asilimia 80.

Iliyopita2 3 4 5 6 7 Inayofuata