Waziri wa Viwanda na TEHAMA wa China Jin Zhuanglong akipokea mahojiano ya waandishi wa habari baada ya ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) mjini Beijing, China, Machi 5, 2023. (Xinhua/Cai Yang) BEIJING - Waziri wa Viwanda na TEHAMA wa China Jin Zhuanglong amesema Jumapili kwamba China itakuwa imejenga zaidi ya vituo milioni 2.
Tarehe 5, Machi, Mkutano wa kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China umefanya shughuli ya kwanza ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na wajumbe hapa Beijing. (Picha na Xinhua).
(Picha inatoka CRI.) Mkutano wa kwanza wa awamu ya 14 ya Bunge la Umma la China umefunguliwa leo Jumapili hapa Beijing, na kuhudhuriwa na viongozi wa China akiwemo rais Xi Jinping.
Ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Umma la 14 la China (NPC) unafanyika leo tarehe 5, Machi kwenye Jumba la Mikutano ya Umma hapa Beijing, China.