Mkutano wa 7 wa kulinda mazingira ya asili wafunguliwa Marseille, Ufaransa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2021
Mkutano wa 7 wa kulinda mazingira ya asili wafunguliwa Marseille, Ufaransa
Tarehe 3, Septemba kwenye mkutano wa 7 wa kulinda mazingira ya asili unaofanyika Marseille, Ufaransa, watu walitazama maonyesho ya vipepeo.

Siku hiyo, mkutano wa 7 wa kulinda mazingira ya asili ulifunguliwa huko Marseille. Mkutano huo ulifanywa pamoja na serikali ya Ufaransa na Umoja wa kulinda mazingira ya asili ya dunia, ambao kaulimbiu yake ni "Dunia moja ya maumbile, Mustakabali wa pamoja".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha