Ukurasa mpya wa Njia ya Hariri: Tazama Xinjiang kwenye Soko Kubwa (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2021
Ukurasa mpya wa Njia ya Hariri: Tazama Xinjiang kwenye Soko Kubwa
Maeneo ya jumla ya Soko Kubwa la kimataifa la Xinjiang ni mita laki moja za mraba. Kwenye soko hili kubwa kuna majengo makuu 6 na kivutio cha mnara mmoja wenye urefu wa mita 80. Soko hilo linauza bidhaa zenye sifa ya Xinjiang, njugu, mavazi ya makabila, Sanaa za mkononi za kikabila n.k. Kwenye soko hilo kuna wafanyabiashara 1480 na asilimia 70 ya watu hao ni wa kabila la wauyghur.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha