Ukurasa mpya wa Njia ya Hariri: Tazama Xinjiang kwenye Soko Kubwa (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2021
Ukurasa mpya wa Njia ya Hariri: Tazama Xinjiang kwenye Soko Kubwa
Hawa ni watu wa familia moja waliotoka mkoa wa Jiangxi,walifika Xinjiang kutembelea jamaa zao na kufanya utalii kwa mahsusi. Walisema, ingawa wamekaa Xinjiang kwa zaidi ya mwezi mmoja, lakini bado wanataka kung’ang’ania huko. Picha hii inaonesha wanajaribu kucheza vinanda vya huko.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha