Ukurasa mpya wa Njia ya Hariri: Tazama Xinjiang kwenye Soko Kubwa

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2021
Ukurasa mpya wa Njia ya Hariri: Tazama Xinjiang kwenye Soko Kubwa
Habari zilizotolewa kwenye tovuti ya CCTV zinasema kuwa, Soko Kubwa la kimataifa la Xinjiang ni soko kubwa kabisa la kingome duniani ambalo liko kwenye eneo la Tianshan mjini Urumqi, pia ni kituo cha kukusanyika kwa bidhaa na cha kuonesha bidhaa za utalii za Xinjiang. Kwenye kituo hicho, kuna maduka mengi na watalii wengi, ambapo maendeleo ya uchumi na jamii ya Xinjiang yameonekana wazi, ndiyo maana panaitwa “Dirisha la Xinjiang”.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha