Kufanya kazi kwa pamoja kulinda maisha ya wakazi wa Chengdu (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2021
Kufanya kazi kwa pamoja kulinda maisha ya wakazi wa Chengdu
Saa Saba usiku, Jumanne ya wiki hii, baada ya masaa mengi mfululizo ya kazi nzito madaktari na wauguzi wanaonekana wakipumzika huku mmoja wao akikaa chini na kuonesha tabasamu la ushindi kwenye uwanja wa eneo la Chenghua mjini Chengdu. (Picha/Wang Xiaoxue)

Jumatatu ya wiki hii, maeneo ya Chenghua na Jinjiang ya Mji wa Chengdu yaliarifu sehemu kadhaa za maeneo hayo kufanya vipimo vya virusi vya korona. Usiku wa siku hiyo, wakazi wanajitokeza kwa wingi ili kupimwa. Shughuli zilifanyika kwa taratibu.

Katika eneo la Jinjiang, madaktari na wauguzi 300 walijitolea katika kazi ya kupima virusi vya korona. Kazi zao ni kuchukua sampuli za vipimo za wakazi zaidi ya elfu tisini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha