Kufanya kazi kwa pamoja kulinda maisha ya wakazi wa Chengdu (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2021
Kufanya kazi kwa pamoja kulinda maisha ya wakazi wa Chengdu
Wafanyakazi wa kujitolea kwenye kituo cha kupima virusi vya korona cha makazi ya Huaxin ya eneo la Jinjiang, Chengdu, wamekuwa na pilika-pilika nyingi tangu mwanzo hadi mwisho. (People’s Daily Online/Zhao Zule)

Jumatatu ya wiki hii, maeneo ya Chenghua na Jinjiang ya Mji wa Chengdu yaliarifu sehemu kadhaa za maeneo hayo kufanya vipimo vya virusi vya korona. Usiku wa siku hiyo, wakazi wanajitokeza kwa wingi ili kupimwa. Shughuli zilifanyika kwa taratibu.

Katika eneo la Jinjiang, madaktari na wauguzi 300 walijitolea katika kazi ya kupima virusi vya korona. Kazi zao ni kuchukua sampuli za vipimo za wakazi zaidi ya elfu tisini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha