Kufanya kazi kwa pamoja kulinda maisha ya wakazi wa Chengdu

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 10, 2021
Kufanya kazi kwa pamoja kulinda maisha ya wakazi wa Chengdu
Wakazi wa Mtaa wa Shuangfu wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kupimwa virusi vya korona kwenye kituo cha upimaji cha makazi ya Shuangfu, eneo la Chenghua, Chengdu. (People’s Daily Online/Li Ping)

Jumatatu ya wiki hii, maeneo ya Chenghua na Jinjiang ya Mji wa Chengdu yaliarifu sehemu kadhaa za maeneo hayo kufanya vipimo vya virusi vya korona. Usiku wa siku hiyo, wakazi wanajitokeza kwa wingi ili kupimwa. Shughuli zilifanyika kwa taratibu.

Katika eneo la Jinjiang, madaktari na wauguzi 300 walijitolea katika kazi ya kupima virusi vya korona. Kazi zao ni kuchukua sampuli za vipimo za wakazi zaidi ya elfu tisini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha