Afrika Kusini yafuatilia soko la China kwa uuzaji nje wa pombe kali za Brandy (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Desemba 07, 2021
Afrika Kusini yafuatilia soko la China kwa uuzaji nje wa pombe kali za Brandy
Waziri wa Kilimo wa Jimbo la Western Cape nchini Afrika Kusini Ivan Meyer (Kulia) akimkabidhi mshindi tuzo wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa shindano la pombe kali za brandy, yaani Brandy Innovation Challenge, mjini Cape Town, Afrika Kusini, Desemba 6, 2021. (Xinhua/Lyu Tianran)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha