Sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 yafanyika (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 21, 2022
Sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 yafanyika
Wasanii wa Italia ambayo ni nchi mwenyeji wa Michezo ijayo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi wakifanya maonesho ya michezo ya sanaa. (Picha/Xinhua)

Jioni ya Februari 20, Sherehe ya kufungwa kwa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing ilifanyika kwenye Uwanja wa Michezo wa Taifa hapa Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha